• HABARI MPYA

  Saturday, December 16, 2017

  MWONEKANO MPYA WA DIDIER DROGBA BAADA YA MIAKA 17

  Mwanasoka bora wa zamani Afrika, Didier Drogba aliyewika Chelsea ya England enzi zake ameposti picha hiii sambamba na ujumbe huo juu kushoto juu ya mwonekano wake mpya wa kipara, tofauti na alivyozoeleka kwa mitindo mbalimbali ya nywele tangu anaibuka kisoka PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MWONEKANO MPYA WA DIDIER DROGBA BAADA YA MIAKA 17 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top