• HABARI MPYA

    Saturday, December 16, 2017

    GUARDIOLA 'ALIPOMKAMATA' CONTE KWA TUZO MFULULIZO ENGLAND

    Kocha wa Manchester City, Mspaniola Pep Guardiola (kulia) akiwa amepozi na tuzo yake ya Kocha Bora wa Ligi Kuu ya England kwa mwezi Novemba baada ya kukabidhiwa jana kufuatia kushinda kwa mara ya tatu mfululizo na kufikia rekodi ya Mtaliano wa Chelsea, Antonio Conte PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: GUARDIOLA 'ALIPOMKAMATA' CONTE KWA TUZO MFULULIZO ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top