• HABARI MPYA

  Monday, December 11, 2017

  MESSI, SUAREZ WOTE WAFUNGA BARCA YASHINDA 2-0 LA LIGA

  Lionel Messi akimkumbatia mchezaji mwenzake, Luis Suarez baada ya kuifungia Barcelona bao la pili dakika ya 83 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji,Villarreal Uwanja Ceramica mjini Villarreal kwenye mchezo wa La Liga, Suarez alifunga bao la kwanza dakika ya 72 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI, SUAREZ WOTE WAFUNGA BARCA YASHINDA 2-0 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top