Wachezaji wa Barcelona wakiwa wanyonge baada ya kuwaruhusu Celta Vigo kupata bao la kusawazisha katika mchezo wa La Liga uliomalizika kwa sare ya 2-2 Uwanja wa Camp Nou. Mabao ya Barcelona yamefungwa na Lionel Messi dakika ya 22 na Luis Suarez dakika ya 62, wakati ya Celta Vigo yamefungwa na Iago Aspas dakika ya 20 na Maxi Gomez dakika ya 70 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Joshua stops Paul in six rounds in Miami mismatch
-
British heavyweight Anthony Joshua needs six rounds to stop boxing novice
Jake Paul, who spends much of the contest in survival mode.
19 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment