• HABARI MPYA

    Wednesday, October 11, 2017

    WANAFUNZI WA BULUBA WALIVYOMFURAHIA MRISHO NGASSA JANA

    Wanafunzi wa sekondari ya Buluba mkoani Shinyanga wakiwa na mwanasoka maarufu Tanzania, Mrisho Khalfan Ngassa jana baada ya kuomba kupiga naye picha alipokuwa anatoka mazoezini na klabu yake, Mbeya City ambayo imeweka kambi huko kujiandaa na mchezo wake ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Mbao FC Ijumaa Uwanja wa CCM Kirumba
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WANAFUNZI WA BULUBA WALIVYOMFURAHIA MRISHO NGASSA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top