• HABARI MPYA

  Sunday, October 22, 2017

  UNADHANI MWENYEKITI HUYU WA SIMBA ANAWAZA NINI HAPA?


  Kaimu Mwenyekiti wa Simba, Salim Abdallah 'Try Again' akitafakari jambo muda mfupi kabla ya kuanza kwa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Njombe Mji FC Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam jana
  Salim Abdallah akawa mwenye furaha baadaye kufuatia Simba kushinda 4-0. Kushoto ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya klabu, Said Tuliy 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UNADHANI MWENYEKITI HUYU WA SIMBA ANAWAZA NINI HAPA? Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top