• HABARI MPYA

    Friday, October 13, 2017

    RONALDO NA BENZEMA JINO KWA JINO MAZOEZINI REAL

    Mshambuliaji Mfaransa, Karim Benzema akitafuta maarifa ya kumpokonya mpira mshambuliaji mwenzake, Mreno Cristiano Ronaldo katika mazoezi ya timu hiyo jana kujiandaa na mchezo wa ugenini wa La Liga kesho dhidi ya Getafe PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO NA BENZEMA JINO KWA JINO MAZOEZINI REAL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top