Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kutokea benchi na kuifungia Ureno bao la kwanza dakika ya 63 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Andorra usiku wa jana Uwanja wa Taifa mjini kwenye mchezo wa Kundi D kufuzu Kombe la Dunia mwakani Urusi. Bao la pili la Ureno lilifungwa na 86 Andre Silva dakika ya 86 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
'Marty Supreme': Timothée Chalamet makes ambition feel unbearable in Josh
Safdie’s epic film
-
Energized, heart-pounding, and stressful, Josh Safdie's film Marty Supreme,
starring Timothée Chalamet, will remind you how powerful movies can truly
be.
30 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment