Bondia Chris Eubank Jr (kushoto) akimuangalia mpinzani wake, Mturuki Avni Yildirim aliyelala chini kulia baada ya kumuangusha raundi ya tatu tu katika pambano la kuwania ubingwa wa dunia wa IBO uzito wa Super Middle usiku wa jana kwenye ukumbi wa Hans-Martin-Schleyer Halle Jijini Stuttgart, Ujerumani PICHA ZAIDI GONGA HAPA
RAIA WA KIGENI WATAKIWA KUACHA KUINGILIA ZOEZI LA UANDIKISHWAJI VITAMBULISHO VYA TAIFA
-
*Editha Karlo,Kasulu.*
*MWENGE wa Uhuru 2018 unaondelea na mbio zake katika Mkoa wa Kigoma
umewataka raia wa kigeni kuacha kuingiliza zoezi la uandikishwaj...
32 minutes ago
0 comments:
Post a Comment