• HABARI MPYA

    Wednesday, October 04, 2017

    NGORONGORO HEROES MAZOEZINI LEO UWANJA WA KARUME

    Kiungo wa Yanga, Mussa Said (kulia) akimdhibiti Cyprian Benedictor wa Toto Africans wakati wa mazoezi ya timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes leo Uwanja wa Karume mjini Dar es Salaam
    Mshambuliaji Muhsin Malima wa Mtibwa Sugar akimpita Ally Ng'anzi wa Mbao FC katika mazoezi ya Ngorongoro 
    Ibrahim Abdallah wa Miembeni City (kulia) akipambana na Vitalis Mayanga wa African Lyon
    Mussa Said wa Yanga akipambana katikati ya Kevin Nashon wa JKT Ruvu na Shaaban Zubeiry Ada wa Lipuli
    Kiungo Rajab Odasi wa Azam akimfunga kipa Abdultwalib Mshedi wa Mtibwa
    Ibrahim Abdallah wa Miembeni City (juu kuia) akipiga kicha mbele Dickson Job wa Mtibwa Sugar
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NGORONGORO HEROES MAZOEZINI LEO UWANJA WA KARUME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top