• HABARI MPYA

  Saturday, October 14, 2017

  RONALDO AIPIGIA LA USHINDI REAL MADRID DAKIKA ZA MWISHONI UGENINI

  Cristiano Ronaldo akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Real Madrid dakika ya 85 ikiwalaza wenyeji Getafe 2-1 Uwanja wa Coliseum Alfonso Perez katika mchezo wa La Liga leo. Karim Benzema alianza kuwafungia Real dakika ya 39, kabla ya Jorge Molina kuwasawazishia wenyeji dakika ya 56 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AIPIGIA LA USHINDI REAL MADRID DAKIKA ZA MWISHONI UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top