• HABARI MPYA

  Friday, October 13, 2017

  KIPRE TCHETCHE MCHEZAJI BORA WA SEPTEMBA MALAYSIA

  Mshambuliaji wa zamani wa Azam FC, Kipre Herman Tchetche (kushoto) anayechezea Terengganu FA kwa sasa ameposti picha hii katika ukurasa wake wa Instagram akishukuru kwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Malaysia mwezi Septemba. Na chini ni picha ya bango la FA ya Malaysia kumtangaza Tchetche kuwa Mchezaji Bora wa Septemba, 2017 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIPRE TCHETCHE MCHEZAJI BORA WA SEPTEMBA MALAYSIA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top