• HABARI MPYA

    Thursday, October 05, 2017

    'KAPTENI' MBWANA SAMATTA ALIPOPEWA MTOTO JANA BOKO

    Mama akimpa mtoto Nahodha wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta jana baada ya mazoezi Uwanja wa Boko Veterani, Bunju nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam

    Mashabiki wakifurahia na Mbwana Samatta (kulia) kwa kupiga naye picha baada ya mazoezi jana 
    Mbwana Samatta anayechezea KRC Genk ya Ubelgiji akiwa amezongwa na mashabiki
    Mashabiki walipiga picha na kufurahia na mchezaji huyo kipenzi cha Watanzania
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: 'KAPTENI' MBWANA SAMATTA ALIPOPEWA MTOTO JANA BOKO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top