• HABARI MPYA

  Monday, October 09, 2017

  KANE AFUNGA KWA TUTA, ENGLAND YASHINDA 1-0 UGENINI

  Harry Kane akipiga penalti kuifungia bao pekee England dakika ya 27 kufuatia Dele Alli kuchezewa rafu kwenye eneo la hatari katika ushindi wa 1-0 jana dhidi ya wenyeji, Lithuania kwenye mchezo wa Kundi F kufuzu Kombe la Dunia mwakani Urusi Uwanja wa Vilnius LFF mjini Vilnius PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KANE AFUNGA KWA TUTA, ENGLAND YASHINDA 1-0 UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top