Thiago Alcântara wa Hispania akiruka juu dhidi ya mabeki wa Albania kuifungia La Roja bao la tatu dakika 16 katika ushindi wa 3-0 kwenye mchezo wa Kundi G kufuzu la Dunia mwakani Urusi. Mabao mengine ya wenyeji yamefungwa na Rodrigo dakika ya 16 na Isco dakika ya 23 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
NFL star Rasheed Walker 'arrested on gun charge' at New York's LaGuardia
airport
-
The offensive lineman, 25, was found with the firearm by TSA agents on
Friday afternoon before being taken into custody.
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment