Beki Mtogo wa Yanga, Vincent Bossou akijaribu bila mafanikio kumfunga kipa wa Prisons, Aaron Kalambo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Wakati huo ilikuwa kabla ya Yanga kupata bao hata moja katika ushindi wake wa 2-0, wafungaji Amissi Tambwe na Obrey Chirwa
Vincent Bossou akasogea pembeni ya lango baada ya kubanwa na kipa Aaron Kalambo, lakini akapiga nje
Alipata nafasi nzuri sana baada ya mabeki wa Prisons kumuacha wakidhani ameotea
Wazi kama Tambwe na Chirwa wasingefunga baadaye, Bossou angekuwa midomoni mwa mashabiki wa Yanga






.png)
0 comments:
Post a Comment