• HABARI MPYA

  Saturday, May 06, 2017

  MESSI APIGA MBILI, BARCELONA YASHINDA 4-1 LA LIGA

  Lionel Messi akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 45 na 82 kwa penalti katika ushindi wa 4-1 wa Barcelona dhidi ya Villarreal usiku wa Jumamosi Uwanja wa Camp Nou kwenye mchezo wa La Liga. Mabao mengine ya Barca yalifungwa na Neymar Junior dakika ya 21 na Luis Suarez dakika ya 69, wakati la Villarreal lilifungwa na Cedric Bakambu dakika ya 32 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI APIGA MBILI, BARCELONA YASHINDA 4-1 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top