• HABARI MPYA

  Saturday, May 06, 2017

  MAN CITY YAIFUMUA CRYSTAL PALACE 5-0 ETIHAD

  David Silva akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la kwanza dakika ya pili katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Crystal Palace leo Uwanja wa Etihad kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya City yamefungwa na Vincent Kompany dakika ya 49, Kelvin De Bruyne dakika ya 59, Raheem Sterling dakika ya 82 na Nicolas Otamendi dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YAIFUMUA CRYSTAL PALACE 5-0 ETIHAD Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top