• HABARI MPYA

  Tuesday, May 09, 2017

  TAFRIJA YA UZINDUZI WA SPORTPESA TANZANIA LEO HYATT KILIMANJARO

  Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk Harrisons Mwakyembe (kushoto) akishuhudia uzinduzi wa kampuni ya SportPesa Tanzania asubuhi ya leo hoteli Hyatt Kilimanjaro, Dar es Salaam.
  Tafrija fupi ya uzinduzi wa SportPesa Tanzania imefana leo Hyatt Kilimanjaro
  Waziri Mwakyembe alitoa hotuba fupi ya kuikaribisha SportPesa Tanzania 
  Mkurugenzi wa SportPesa Tanzania, Tarimba Abbas (kulia) akizungumza kwenye hafla hiyo 
  Watangazaji wa Azam TV, Michael Maluwe na Patrick Nyembera wakiwa na msanii, Idris Sultan 
  Mwanamuziki maarufu, Ambwnee Yessayah 'AY' wa pili kulia
  Makamu wa Rais wa Simba SC, Geoffrey Nyange 'Kaburu' (kushoto) nakiwa na Katibu wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa
  Wadau mbalimbali wakifuatilia uzinduzi wa SportPesa Tanzania  
  Nyota wa muziki wa Rap Tanzania, Hamisi Mwinjuma 'Mwana FA' (kulia) alikuwepo pia 
  Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Dk. Jabir Idriss Katundu alikuwepo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TAFRIJA YA UZINDUZI WA SPORTPESA TANZANIA LEO HYATT KILIMANJARO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top