• HABARI MPYA

  Saturday, May 06, 2017

  SPURS YAJICHUJA MBIO ZA UBINGWA ENGLAND, YAGONGWA NYUNDO 1-0

  Manuel Lanzini akishangilia baada ya kuifungia West Ham United bao pekee la ushindi dakika ya 65 ikiilaza Tottenham Hotspur 1-0 usiku wa jana Uwanja wa London katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Kwa matokeo hayo, Spurs inaelekea kujitoa kwenye mbio za ubingwa na sasa wapinzani wao, Chelsea watajihakikishia taji wakishinda mechi zao mbili zijazo. Chelsea wanaongoza kwa pointi zao 81 za mechi 34, wakati Spurs ni wa pili kwa pointi zao 77 za mechi 35 sasa PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SPURS YAJICHUJA MBIO ZA UBINGWA ENGLAND, YAGONGWA NYUNDO 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top