• HABARI MPYA

  Monday, May 08, 2017

  MBWEMBWE ZA MASHABIKI SIMBA NA YANGA MECHI ZA LIGI KUU TAIFA

  Shabiki wa Yanga akifurahia huku akila wali kwa kabichi na nyama ya kuku juzi jioni Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya timu yake na Tanzania Prisons ya Mbeya. Yanga ilishinda 2-0
  Shabiki huyo wa kike hapa anampa na shabiki mwenzake wa kiume chakula hicho
  Mashabiki wa kike wa Yanga wakifurahia kwa raha zao juzi
  Mashabiki wa Simba wakifuraia wakati wa mchezo wa Ligi Kuu juzi kati ya timu yao na African Lyon Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Simba ilishinda 2-1
  Mashabiki wa Simba walikuwa wenye furaha kuanzia kipindi cha kwanza baada ya Ibrahim Hajib kufunga bao la kwanza
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MBWEMBWE ZA MASHABIKI SIMBA NA YANGA MECHI ZA LIGI KUU TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top