• HABARI MPYA

  Sunday, May 07, 2017

  AMBAVYO AMISSI JOSELYN TAMBWE "ASIVYOPENDA UJINGA"

  Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe akimkwida beki wa Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-0 
  Tambwe alilazimika kumfanyia hivyo beki huyo baada ya kuzidisha kumchezea "kindava"
  Kama inavyoonekana hapa, beki huyo amemshika mikono Tambwe wakati wakisubiri mpira wa kona
  Hapa Tambwe anajaribu kujinasua kwenye mwili wa beki huyo
  Beki huyo akiwa amemshika Tambwe wakati wa mpira wa kona
  Hapa ameshika tena ili asiuwahi mpira
  Na hapa amesmhika pia wakati wakisubiri mpira wa kona
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AMBAVYO AMISSI JOSELYN TAMBWE "ASIVYOPENDA UJINGA" Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top