• HABARI MPYA

    Sunday, April 02, 2017

    YUSSUF MACHO ‘MUSSO’ MASHINE NYINGINE YA HATARI KUWAHI KUTOKEA BONGO

    Kiungo wa Yanga, Yussuf Macho ‘Musso’ akiwa na wachezaji wa Waziri Mkuu Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma kabla ya mchezo wa Ligi Kuu Safari Lager mwaka 1996. Kushoto ni Thomas Karume ambaye baadye alijiunga na Simba mwaka 1999 kabla ya kufukuzwa kwa kashfa ya ushoga, ambayo mwenyewe aliikana baadaye
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YUSSUF MACHO ‘MUSSO’ MASHINE NYINGINE YA HATARI KUWAHI KUTOKEA BONGO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top