• HABARI MPYA

  Sunday, April 09, 2017

  YANGA ILIVYOWAZIMA WAARABU WA ALGERIA JANA TAIFA

  Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mzambia Obrey Chirwa akiwatoka mabeki wa Mouloudia Club Alger ya Algeria katika mchezo wa kwanza wa mchujo wa kuwania kuingia hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 1-0
  Winga wa Yanga, Simon Msuva (kushoto) akituliza mpira kifuani mbele ya beki wa MC Alger
  Simon Msuva na Thabani Kamusoko wakiruka kwa pamoja kuwania mpira wa juu dhidi ya beki wa MC Alger
  Kiungo wa Yanga, Said Juma 'Makapu' akimtoka kiungo wa MC Alger 
  Beki wa Yanga, Hassan Kessy akiwatoka wachezaji wa MC Alger 
  Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima akijaribu kuwapita wachezaji wa MC Alger 
  Beki wa Yanga, Vincent Bossou (kulia) akimdhibiti mshambuliaji wa MC Alger
  Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akijivuta kumpita beki wa MC Alger
  Kikosi cha Yanga kilichoanza kwenye mechi ya jana na chini ni kikosi cha MC Alger

  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA ILIVYOWAZIMA WAARABU WA ALGERIA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top