• HABARI MPYA

    Friday, April 14, 2017

    WAKUBWA WA KAMATI YA SAA 72 BAADA YA KAZI NGUMU JANA

    Wajumbe wa Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa Ligi Tanzania, maarufu kama Kamati ya Saa 72, Jonas Kiwia (kulia) na Stephen Mnguto (kushoto) baada ya kikao cha jana kujadili malalamiko ya Simba dhidi ya Kagera Sugar kumtumia beki Mohammed Fakhi akiwa ana kadi tatu za njano katika mechi baina ya timu hizo Aprili 2, mwaka huu.  Kamti iliipa Simba pointi tatu  
     Kulia ni Philemon Ntahilaja na kushoto ni Baruan Muhuza
    Kulia ni Fatma na kushoto ni Michael Ngogo baada ya kazi ngumu jana 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WAKUBWA WA KAMATI YA SAA 72 BAADA YA KAZI NGUMU JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top