• HABARI MPYA

  Friday, April 14, 2017

  KIKOSI KIPYA CHA DRFA CHINI YA 'ALWATAN' ALMASI KASONGO

  Almasi Kassongo (wa pili kulia walioketi) baada ya kutetea nafasi yake ya Uenyekiti wa Chama cha Soka Dar es Salaam (DRFA) katika Uchaguzi Mkuu wa chama hicho uliofanyika hoteli ya Lamada, Dar es Salaam jana akipata kura 12 dhidi ya kura tisa za mpinzani wake, Peter Muhinzi. Alionao ni viongozi aliochaguliwa nao Salum Mwaking’inda, Makamu Mwenyekiti, Msanifu Kondo, Katibu Mkuu, Issa Masoud, Mweka Hazina, Shaffih Dauda Mjumbe Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Michael Lupiana, mwakilishi wa klabu, Amour Amour, Chichi Hassan na Funua Ally Wajumbe wa Kamati ya Utendaji

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIKOSI KIPYA CHA DRFA CHINI YA 'ALWATAN' ALMASI KASONGO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top