Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Saturday, April 01, 2017

  SPURS YANG'ARA ENGLAND, YAIPIGA BURNLEY 2-0 TURF MOOR

  Son Heung-Min akifurahia baada ya kuifungia Tottenham Hotspur bao la pili dakika ya 77 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji Burnley Uwanja wa Turf Moor, leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao la kwanza lilifungwa na Eric Dier dakika ya 66 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: SPURS YANG'ARA ENGLAND, YAIPIGA BURNLEY 2-0 TURF MOOR Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top