Wilfried Ndidi akishangilia baada ya kuifungia bao zuri la kwanza Leicester City dakika ya 25 ikiilaza 2-0 Stoke City leo Uwanja wa King Power katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao la pili la mabingwa hao watetezi limefungwa na Jamie Vardy dakika ya 47. Ndindi alikuwa sahiba wa Mtanzania, Mbwana Samatta KRC Genk ya Ubelgiji kabla ya kuhamia England Januari PICHA ZAIDI GONGA HAPA
The 20 best gifts for someone you don't know very well
-
A lucky Lego build, a funky sock subscription and more foolproof gift ideas
for the acquaintances on your list.
21 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment