• HABARI MPYA

  Saturday, April 01, 2017

  SIMBA WAJIFUA KWENYE MVUA KAITABA LEO ASUBUHI

  Winga wa Simba, Shiza Kichuya akipiga mpira asubuhi ya leo Uwanja wa Kaitaba, Bukoba wakati wa mazoezi ya timu hiyo kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar kesho jioni
  Beki Mkongo, Janvier Besala Bokungu akipiga mpira 
  Kiungo Mghana, James Kotei akipiga mpira mazoezini
  Kiungo fundi zaidi kwa sasa nchini, Said Hamisi Ndemla akip[iga mpira
  Meneja Mussa Mgosi kama kawaida naye alishiriki kidogo mazoezi
  Hapa makocha wanazungumza na wachezaji kabla ya kuanza mazoezi rasmi 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA WAJIFUA KWENYE MVUA KAITABA LEO ASUBUHI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top