• HABARI MPYA

    Sunday, April 02, 2017

    SCHWEINSTEIGER AFUNGA CHICAGO FIRE IKITOA SARE 2-2 MAREKANI

    Bastian Schweinsteiger akiubusu mpira kushangilia baada ya kuifungia timu yake mpya Chicago Fire dakika ya 17 akiichezea kwa mara ya kwanza jana ikitoa sare ya 2-2 na Montreal Impact Uwanja wa Toyota Park, Bridgeview, Illinois, Marekani PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SCHWEINSTEIGER AFUNGA CHICAGO FIRE IKITOA SARE 2-2 MAREKANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top