• HABARI MPYA

  Sunday, April 02, 2017

  KALI YA PIERRE-EMERICK AUBAMEYANG BUNDESLIGA...

  Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia huku ameziba uso wake kwa mask baada ya kuifungia bao la kuongoza Borussia Dortmund dakika ya 53, kabla ya Thilo Kehrer kuisawazishia Schalke 04 dakika ya 77 timu hizo zikitoka sare ya 1-1 katika mchezo wa Bundesliga Uwanja wa VELTINS-Arena, Gelsenkirchen PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KALI YA PIERRE-EMERICK AUBAMEYANG BUNDESLIGA... Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top