• HABARI MPYA

    Sunday, April 02, 2017

    YANGA NA AZAM FC KATIKA PICHA JANA TAIFA

    Mshambuliaji wa Yanga, Mzambia Obrey Chirwa akimuacha chini beki wa Azam FC, Mghana Daniel Amoah katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, DXares Salaam. Yanga ilishinda 1-0 
    Beki wa Yanga, Juma Abdul akitafuta maarifa ya kumpita winga wa Azam, Ramadhani Singano 'Messi'
    Kiungo wa Yanga, Deus Kaseke akimtoka beki wa Azam, Erasto Nyoni Uwanja wa Taifa 
    Beki wa Azam FC, Erasto Nyoni akimtoka winga wa Yanga, Geoffrey Mwashiuya  
    Kikosi cha Yanga katika mchezo wa jana na chini ni kikosi cha Azam

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NA AZAM FC KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top