• HABARI MPYA

    Saturday, April 01, 2017

    MAN UNITED YANG'ANG'ANIWA OLD TRAFFORD, SARE 0-0 NA WEST BROM

    Kipa wa West Bromwich Albion, Ben Foster akichupa kuokoa mpira wa mshambuliaji wa timu yake ya zamani, Manchester United, Henrik Mhkitaryan katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Old Trafford timu hizo zikitoka sare ya 0-0 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN UNITED YANG'ANG'ANIWA OLD TRAFFORD, SARE 0-0 NA WEST BROM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top