• HABARI MPYA

    Saturday, April 01, 2017

    MANE, COUTINHO, ORIGI WOTE WAFUNGA LIVERPOOL YAITANDIKA EVERTON 3-1 ANFIULD

    Sadio Mane akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la kwanza dakika ya 10 katika ushindi wa 3-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Everton jioni ya leo Uwanja wa Anfield. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na 
    Phillipe Coutinho dakika ya 31 na Divock Origi dakika ya 60, wakati la Everton lilifungwa na Matthew Pennington dakika ya 28 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MANE, COUTINHO, ORIGI WOTE WAFUNGA LIVERPOOL YAITANDIKA EVERTON 3-1 ANFIULD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top