• HABARI MPYA

  Sunday, April 16, 2017

  MAN UNITED YAIZIMA CHELSEA, YAICHAPA 2-0 OLD TRAFFORD

  Mfungaji wa bao la kwanza la Manchester United, Marcus Rashford dakika ya saba tu katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Chelsea kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford akishangilia baada ya kumpa raha kocha wake, Jose Mourinho. Bao la pili la United limefungwa na Ander Herrera dakika ya 49. Pamoja na kufungwa Chelsea inaendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi zake 75 za mechi 32 wakati United pia inaendelea kushika nafasi ya tano kwa pointi zake 60 za mechi 31 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED YAIZIMA CHELSEA, YAICHAPA 2-0 OLD TRAFFORD Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top