• HABARI MPYA

  Sunday, April 02, 2017

  LEWANDOWSKI APIGA HAT TRICK BAYERN MUNICH IKIUA 6-0 BUNDESLIGA

  Robert Lewandowski akishangilia kwa staili ya aina yake baada ya kufunga mabao matatu dakika za 17, 55 na 79 katika ushindi wa 6-0 wa Bayern Munich dhidi ya Augsburg kwenye mchezo wa Bundesliga Uwanja wa Allianz Arena. Mabao mengine ya Bayern yalifungwa na Thomas Muller mawili dakika za 36 na 80 na Thiago Alcantara dakika ya 62 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LEWANDOWSKI APIGA HAT TRICK BAYERN MUNICH IKIUA 6-0 BUNDESLIGA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top