• HABARI MPYA

  Sunday, April 02, 2017

  PSG WAIFUMUA 4-1 MONACO NA KUTWAA KOMBE LA UFARANSA

  Wachezaji wa PSG wakishangilia baada ya kuweka rekodi ya kuwa timu ya kwanza Ufaransa kutwaa Kombe la Ligi mara nne mfululizo kufuatia kuifunga Monaco 4-1 Uwanja wa Parc Olympique Lyonnais. Mabao ya PSG yalifungwa na Julian Draxler dakika ya nne, Angel Di Maria dakika ya 44 na Edinson Cavani mawili dakika za 54 na 90, wakati la Monaco lilifungwa na Thomas Lemar dakika ya 27 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PSG WAIFUMUA 4-1 MONACO NA KUTWAA KOMBE LA UFARANSA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top