• HABARI MPYA

  Saturday, April 01, 2017

  BENTEKE, ZAHA WAIUA CHELSEA DARAJANI..PALACE YASHINDA 2-1

  Christian Benteke akishangilia baada ya kuifungia Crystal Palace bao la ushindi dakika ya 11 ikiwalza wenyeji, Chelsea 2-1 Uwanja wa Stamford Bridge, London jioni ya leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Chelsea walitangulia kwa bao la Cesc Fabregas dakika ya tano, kabla ya Wilfried Zaha kuisawazishia Palace dakika ya tisa PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BENTEKE, ZAHA WAIUA CHELSEA DARAJANI..PALACE YASHINDA 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top