• HABARI MPYA

  Sunday, April 02, 2017

  AMBAVYO HANS POPPE NA KABURU HAWAKUAMINI WALICHOKIONA LEO KAITABA

  Makamu wa Rais wa Simba SC, Geoffrey Nyange 'Kaburu' (kushoto) akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya klabu hiyo, Zacharia Hans Poppe (kulia) Uwanja wa Kaitaba, Bukoba leo wakati timu yao ikicheza na wenyeji Kagera Sugar na kufungwa 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara 
  Hans Poppe (kulia) na Kaburu kushoto hawakuamini kama Simba imefungwa na Kagera Sugar leo 
  Hapa sijui Kaburu anamuambia nini Hans Poppe anayesikiliza kwa makini 
  Hans Poppe anamjibu Kaburu hapa. Walijadiliana nini?
  Kulia kabisa ni Katibu wa Chama Soka Kagera (KRFA), Salum Umande Chama ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Waamuzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AMBAVYO HANS POPPE NA KABURU HAWAKUAMINI WALICHOKIONA LEO KAITABA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top