• HABARI MPYA

    Tuesday, April 11, 2017

    ARSENAL YAKUNG'UTWA 3-0 NA CRYSTAL PALACE HADI AIBU

    Andros Townsend akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Crystal Palace bao la kwanza dakika ya saba Uwanja wa Selhurst Park, London akimalizia krosi ya Wilfried Zaha usiku wa jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Palace ilishinda 3-0 mabao mengine yakifungwa na Yohan Cabaye dakika ya 63 na Luka Milivojevic dakika ya 68 kwa penalti baada ya Townsend kuangshwa kwenye boksi la Arsenal PICHA ZAIDI HONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ARSENAL YAKUNG'UTWA 3-0 NA CRYSTAL PALACE HADI AIBU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top