• HABARI MPYA

  Wednesday, February 01, 2017

  WOTE WALIOTOKA NA KUINGIA ENGLAND DIRISHA DOGO HADI LINAFUNGWA

  DIRISHA dogo la usajili lilifunguliwa mapema mwaka mpya na timu zilitakiwa kusajili hadi siku ya mwisho ya Januari – maana yake jana Januari 31 pazia limefungwa.
  Je, nani kasajiliwa wapi na kaondoka wapi Ligi Kuu England? Hii hapa orodha kamili ya timu zote.
  ARSENAL 
  WALIOINGIA: Cohen Bramall (Hednesford Town, Pauni 40,000)
  WALIOONDOKA: Chuba Akpom (Brighton, mkopo), Kaylen Hinds (Stevenage, mkopo), Stephy Mavididi (Charlton, mkopo)
  BOURNEMOUTH  
  WALIOINGIA:  Hakuna
  WALIOONDOKA: Emerson Hyndman (Rangers, mkopo), Jordan Lee (Torquay United, mkopo), Glenn Murray (Brighton, Pauni Milioni 3). 
  Saido Berahino ametambulishwa Stoke City kabla ya mechi yao na Manchester United PICHA ZAIDI GONGA HAPA  

  BURNLEY 
  WALIOINGIA: Joey Barton (Rangers, mkopo), Ashley Westwood (Aston Villa, Pauni Milioni 5),
  Robbie Brady (Norwich, Pauni Milioni 13) 
  WALIOONDOKA: Lukas Jutkiewicz (Birmingham City, Pauni Milioni 1), Daniel Lafferty (Sheffield United), Michael Kightly (Burton, mkopo).
  CHELSEA 
  WALIOINGIA: 
  Hakuna.
  WALIOONDOKA: Oscar (Shanghai SIPG, Pauni Milioni 52), Patrick Bamford (Middlesbrough, Pauni Milioni 6), John Mikel Obi (Tianjin TEDA), Izzy Brown (Huddersfield Town, mkopo).
  CRYSTAL PALACE 
  WALIOINGIA: Jeffrey Schlupp (Leicester City, Pauni Milioni 12), Patrick van Aanholt (Sunderland, Pauni Milioni 14), Luka Milivojevic (Olympiacos, Pauni Milioni 12), Mamadou Sakho (Liverpool, mkopo)
  WALIOONDOKA: Hiram Boateng (Northampton, mkopo), Jordon Mutch (Reading, mkopo), 
  Noor Husin (Accrington Stanley, mkopo).
  EVERTON 
  WALIOINGIA: Morgan Schneiderlin (Manchester United, Pauni Milioni 24), 
  Ademola Lookman (Charlton, Pauni Milioni 10)
  WALIOONDOKA: Nathan Holland (West Ham United), Gerard Deulofeu (AC Milan, mkopo) 
  Tom Cleverley (Watford, mkopo), Oumar Niasse (Hull City, mkopo), Callum Connolly (Wigan Athletic, mkopo), Gethin Jones (Barnsley, mkopo), Tyias Browning (Preston, mkopo), Bryan Oviedo (Sunderland), Darron Gibson (Sunderland), Conor McAleny (Oxford, mkopo).
  HULL CITY
  WALIOINGIA: Markus Henriksen (AZ Alkmaar), Evandro (Porto), Lazar Markovic (Liverpool, mkopo), Oumar Niasse (Everton, mkopo), Omar Elabdellaoui (Olympiacos, mkopo), Andrea Ranocchia (Inter Milan, mkopo), Alfred N'Diaye (Villarreal, mkopo), Kamil Grosicki (Rennes)
  WALIOONDOKA: Jake Livermore (West Bromwich Albion, Pauni Milioni 10), Robert Snodgrass (West Ham United, Pauni Milioni 10), Alex Bruce (Wigan, mkopo), James Weir (Wigan, mkopo), Josh Clackstone (Notts County, mkopo).
  LEICESTER CITY 
  WALIOINGIA: Wilfred Ndidi (Genk, Pauni Milioni 15), Molla Wague (Udinese, mkopo) 
  WALIOONDOKA: Jeffrey Schlupp (Crystal Palace, Pauni Milioni 12), Luis Hernandez (Malaga, Pauni Milioni 1.75), Harvey Barnes (MK Dons, mkopo).
  LIVERPOOL 
  WALIOINGIA:
  Hakuna.
  WALIOONDOKA: Tiago Ilori (Reading, Pauni Milioni 3.75), Joe Maguire (Fleetwood Town),
  Lazar Markovic (Hull City, mkopo), Cameron Brannagan (Fleetwood Town, mkopo), Mamadou Sakho (Crystal Palace, mkopo).
  MANCHESTER CITY 
  WALIOINGIA:
  Hakuna.
  WALIOONDOKA: Pablo Maffeo (Girona, mkopo), Angelino (Girona, mkopo), David Faupala (Chesterfield, mkopo).
  MANCHESTER UNITED 
  WALIOINGIA:
  Hakuna.
  WALIOONDOKA: Memphis Depay (Lyon, Pauni Milioni 21.6), Morgan Schneiderlin (Everton, Pauni Milioni 24), Joe Riley (Sheffield United, mkopo).
  MIDDLESBROUGH
  WALIOINGIA: Rudy Gestede (Aston Villa, Pauni Milioni 6), Patrick Bamford (Chelsea, Pauni Milioni 6), Adlene Guedioura (Middlesbrough, Pauni Milioni 3.5).
  WALIOONDOKA:
  Dave Nugent (Derby County, Pauni Milioni 2.5), Emilio Nsue (Birmingham City), 
  Tomas Mejias (Rayo Vallecano, mkopo), Julien De Sart (Derby County, mkopo), Bryn Morris (Shrewsbury Town, mkopo), Callum Cooke (Crewe, mkopo).
  SOUTHAMPTON 
  WALIONGIA: Mouez Hassen (Nice, mkopo), Manolo Gabbiadini (Napoli, Pauni Milioni 17) 
  WALIOONDOKA: Jose Fonte (West Ham United, Pauni Milioni 8), Dominic Gape (Wycome Wanderers).
  STOKE CITY 
  WALIOINGIA: Saido Berahino (West Bromwich Albion, Pauni Milioni 15), Lee Grant (Derby County, Pauni Milioni 1.3).
  WALIOONDOKA: Jakob Haugaard (Wigan Athletic, mkopo), Bojan Krkic (Mainz, mkopo).
  SUNDERLAND 
  WALIOINGIA: Bryan Oviedo (Everton) na Darron Gibson (Everton) kwa pamoja Pauni Milioni 7.5,
  WALIOONDOKA: Patrick van Aanholt (Crystal Palace, Pauni Milioni 14), 
  Andy Nelson (Hartlepool, mkopo).
  SWANSEA CITY 
  WALIOINGIA: Luciano Narsingh (PSV Eindhoven, Pauni Milioni 4), Martin Olsson (Norwich City, Pauni Milioni 4), Tom Carroll (Tottenham Hotspur, Pauni Milioni 4), Jordan Ayew (Aston Villa) 
  WALIOONDOKA: Marvin Emnes (Blackburn, mkopo), Modou Barrow (Leeds, mkopo), 
  Neil Taylor (Aston Villa), Ryan Hedges (Barnsley). 
  TOTTENHAM HOTSPUR  
  WALIOINGIA: Hakuna.
  WALIOONDOKA: Tom Carroll (Swansea City, Pauni Milioni 4), Shayon Harrison (Yeovil Town, mkopo).
  WATFORD
  WALIOINGIA: M'Baye Niang (AC Milan, mkopo), Tom Cleverley (Everton, mkopo)
  WALIOONDOKA: Jerome Sinclair (Birmingham, mkopo), Odion Ighalo (Changchun Yatai, Pauni Milioni 20), Adele Guedioura (Middlesbrough, Pauni Milioni 3.5).
  WEST BROMWICH ALBION 
  WALIOINGIA: Jake Livermore (Hull City, Pauni Milioni 10), Marc Wilson (Bournemouth, mkopo)
  WALIOONDOKA: Saido Berahino (Stoke City, Pauni Milioni 15), Callum McManaman (Sheffield Wednesday, mkopo), Craig Gardner (Birmingham City, mkopo), Tyler Roberts (Shrewsbury Town, mkopo), Tahvon Campbell (Notts County, mkopo).
  WEST HAM UNITED 
  WALIONGIA: Robert Snodgrass (Hull City, Pauni Milioni 10m), Jose Fonte (Southampton, Pauni Milioni 8), Nathan Holland (Everton) 
  WALIOONDOKA: Lewis Page (Charlton Athletic), Martin Samuelson (Peterborough, mkopo), 
  Josh Cullen (Bradford City, mkopo), Alex Pike (Cheltenham Town, mkopo), Marcus Browne (Wigan Athletic, mkopo), Dimitri Payet (Marseille, Pauni Milioni 25).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WOTE WALIOTOKA NA KUINGIA ENGLAND DIRISHA DOGO HADI LINAFUNGWA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top