Mshambuliaji Mfaransa anayetakiwa na Manchester United, Antoine Griezmann akishangilia baada ya kuweka rekodi mpya ya kuwa mchezaji aliyeifungia mabao mengi zaidi kwenye michuano ya Ulaya, klabu yake ya sasa, Atletico Madrid ya Hispania kufuatia kufunga bao moja usikku wa jana dakika ya 25 katika ushindi wa 4-2 dhidi ya wenyeji, Bayer Leverkusen Uwanja wa BayArena, Leverkusen, Ujerumani kwenye mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mabao mengine ya Atletico yalifungwa na Saul Niguez Esclapez dakika ya 17, Kevin Gameiro dakika ya 58 kwa penalti na Fernando Torres dakika ya 86, wakati ya wenyeji yalifungwa na Karim Bellarabi dakika ya 48 na Stefan Savic dakika ya 67 kwa penalti PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Obi Toppin, Anfernee Simons, Cassius Stanley to Give HBCUs Dunk Contest Winnings
-
The 2021 NBA All-Star Weekend will be supporting historically Black
colleges and universities as well as COVID-19 relief and awareness for
communities of c...
23 minutes ago
0 comments:
Post a Comment