• HABARI MPYA

  Sunday, February 19, 2017

  CHELSEA YAICHAPA 2-0 WOLVES KOMBE LA FA ENGLAND

  Nyota wa Chelsea, Pedro (kulia) akipongezwa na mchezaji mwenzake, Willian baada ya kuifungia Chelsea bao la kwanza dakika ya 65 katika mchezo wa Raundi ya Tano Kombe la FA Uwanja wa Molineux mjini Wolverhampton jana. Bao la pili la Chelsea lilifungwa na Diego Costa dakika ya 89 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAICHAPA 2-0 WOLVES KOMBE LA FA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top