Wachezaji wa Manchester United wakifurahia na taji lao la Kombe la Ligi England baada ya kuifunga Southampton mabao 3-2 leo katika fainali Uwanja wa Wembley, London. Mabao ya Man United yamefungwa na Zlatan Ibrahimovic mawili dakika za 19 na 87 na Jesse Lingard dakika ya 38, wakati ya Southampton yamefungwa na Manolo Gabbiadini yote dakika za 45 na ushei na 48, hilo likiwa taji la kwanza la kocha Mreno, Jose Mourinho tangu ajiunge na Mashetani hao Wekundu msimu huu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Borussia Dortmund dealt Jadon Sancho blow with winger ruled out of Bayern Munich clash
-
Dortmund suffered a major blow on Friday when Jadon Sancho, Raphael
Guerreiro and Giovanni Reyna were ruled out of Saturday's game with
reigning champions ...
15 minutes ago
0 comments:
Post a Comment