• HABARI MPYA

  Monday, February 27, 2017

  PRISONS WAING'OA MBEYA CITY KOMBE LA TFF, WATINGA ROBO FAINALI

  Wachezaji wa Prisons wakishangilia baada ya kuitoa Mbeya City kwa penalti 3-2 kufuatia sare ya 1-1 katika mchezo wa 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC) leo Uwanja wa Sokoine, Mbeya.
  Victor Hangaya wa Prisons akimtoka beki wa Prisons
  Wachezaji wa Prisons wakifurahia kwenda Robo Fainali ya Kombe la ASFC na kuendeleza ubabe kwa Mbeya City
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PRISONS WAING'OA MBEYA CITY KOMBE LA TFF, WATINGA ROBO FAINALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top