Vita ya Wabrazil; Beki wa Chelsea, David Luiz (kulia) akipiga mpira kichwa dhidi ya Mbrazil mwenzake, mshambuliji wa Liverpool, Roberto Firmino (kushito) katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Anfield timu hizo zikitoka sare ya 1-1. Luiz alianza kuifungia The Bluse dakika ya 24, kabla ya Diego Costa kukosa penalti dakika ya 76 iliyookolewa na kipa Simon Mignolet baada ya Georginio Wijnaldum kuisawazishia Liverpool dakika ya 57 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Sudden drone crash halts LIV Golf event in Hong Kong as distracted Sergio
Garcia tries to line up putt
-
LIV Golf's use of drones has occasionally annoyed players and disrupted
live action. The worst example of this came on Thursday in the third event
of the s...
31 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment