• HABARI MPYA

  Tuesday, January 31, 2017

  JOSHUA NA WLADIMIR KLITSCHKO ULINGONI APRILI 29 WEMBLEY

  Anthony Joshua na Wladimir Klitshchko katika picha ya pamoja kwenye mkutano na Waandishi wa Habari ukumbi wa Madison Square Garden mjini New York, Marekani wakati wa kutangaza pambano lao Aprili 29, mwaka huu Uwanja wa Wembley mjini London kuwania mataji ya IBF, IBO na WBA uzito wa juu  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JOSHUA NA WLADIMIR KLITSCHKO ULINGONI APRILI 29 WEMBLEY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top