• HABARI MPYA

  Monday, August 01, 2016

  YANGA WANAVYOJIANDAA KULIPA KISASI KWA MO BEJAIA

  Wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi asubuhi ya leo Uwanja wa Gymkhana, Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa marudiano Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Mouloudia Olympique Bejaia ya Algeria Agosti 13, mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA WANAVYOJIANDAA KULIPA KISASI KWA MO BEJAIA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top