Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Saturday, May 21, 2016

  MAN UNITED WAINUA NDOO YA FA ENGLAND, WAINYUKA PALACE 2-1

  Nyota wa Manchester United, Jesse Lingard akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la ushindi dakika ya 110 ikiilaza 2-1 Crystal Palace katika fainali ya Kombe la FA England iliyodumu kwa dakika 120 usiku huu Uwanja wa Wembley mjini London. Jason Puncheon alianza kuifungia Crystal Palace dakika ya 78 kabla ya Juan Mata kuisawazishia United dakika ya 81. United ilimaliza pungufu mechi hiyo, baada ya Chris Smalling kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 105 kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano kwa kumchezea rafu Yannick Bolasie PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: MAN UNITED WAINUA NDOO YA FA ENGLAND, WAINYUKA PALACE 2-1 Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top