• HABARI MPYA

  Tuesday, April 05, 2016

  YANGA WALIVYOPASHA UFUKWENI CHAKE CHAKE LEO

  Wachezaji wa Yanga wakijifua kwenye ufukwe wa hoteli ya Misali Sun set Beach, Chake Chake, Pemba asubuhi ya leo kujiandaa na mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly ya Misri Jumamosi mjini Dar es Salaam

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA WALIVYOPASHA UFUKWENI CHAKE CHAKE LEO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top